Kuhusiana na mizimu
mzimu1 nm mi- [u-/i-] spirit worship place. 2 ancestral spirit, dead person’s spirit….Mizimu ni roho ambazo huchukua uhusika wa watu waliofariki. huwa zina sifa (character) zinapenda kutambikiwa na kuabudiwa kama Mungu…wakati mwanadamu anafariki huwa na hatima mbili tu yaani kwenda mbinguni(Kumkubali YEsu kristo ) au Kuzimu (Kumkataa)…ingawa zipo nadharia ambazo zinajaribu kueleza kwamba hipo sehemu inaitwa limbo sehemu ambazo hukaa roho zilizokufa katika dhambi za asili
(In the theology of the Catholic Church, Limbo is a speculative idea about the afterlife condition of those who die in original sin without being assigned to the Hell of the Damned)
Kifupi ni mojawapo ya makundi ya roho zilizoanguka (fallen angel) na mara nyingi sana zinachukua nafasi za kupinga wokovu inapotokea mpendwa katika familia iliyokuwa ipo connected na roho hizo anapookoka. zinahusika na kufunga na kutesa vizazi vya wale walioweka maagano kwa njia ya wanyama, hata kutoa kafara wanadamu kwa lengo la kuzisihi ulinzi, mafanikio, nk.. kazi ya hizi roho kubwa imebainishwa…yohana10:10 “Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu”…(Laana)
Lakini mimi binafsi sikuwahi sikia mchungaji yoyote t
Kifupi roho hizi zipo na zinakuwa zinapenda kujiingiza na kufunga maagano na ndugu waliobakia hai mara nyingi sana katika misiba kutokana na shughuli za mila na desturi za koo au mbali husika, vilevile tamaduni za kurithishana majina na mambop mengi ambayo hayampi mungu utukufu….wakati mwingine unaweza kuwa umeokoka lakini inapotokea msibani kuumia sana kuwa na uchungu wa muda mrefu kupitiliza kuhusiana na ndugu huyo aliyekufa huwa inatokea katika Ulimwengu wa roho unaunganishwa na roho hizo…
Dalili ya roho hizi….kufungwa kielimu, magonjwa ya urithi, tabia zisizompa mungu utukufu zinazofanana katika ukoo, umasikini, wokovu kuwa na vita kwa mhusika, ndoto zakuongea na wahenga mara kwa mara..
……..Kifupi roho hizo zipo na zinapigana usiku na mchana kuleta mabalaa kwa watu wanaojiunganisha nazo waliounganishwa nazo kwa kujua au kutokujua..na kuleta hujuma kwa waliookoka kutoka koo zilizowatambikia wasisonge mbele na kuwakatisha tamaa….ashukuliwe MUNGU anatupa kushinda na kusonga mbele
angia nakuwa akisema mtu anasumbuliwa na mizimu ya nduguze waliofariki(ila kwa waganga washirikina icho kitu kipo)…

Post a Comment